Tuesday, April 29, 2014

Monday, April 28, 2014

ODA YA SETI YA KITANDA........


 Homez deco tulipeleka seti hii ya kitanda..kwa mteja...
 nilichofurahishwa nacho ni usafi wa godoro lake......katika kuhakikisha godoro lake ni safi...muda wote....yeye ameamua kutumia matress protector....

Matress protector. ...husaidia sana...godoro lako lisichafuke...na kulifanya lidumu likiwa safi.....

Nitawajulisha wapi yanapatikana...ili muweze kulinda magodoro yenu....ili hata siku unataka kiligawa....basi usiwe na hofu na mashaka...kwakua ni chafu.....

STOOL YA MNINGA.....


Hii ni oda ya mteja wetu .....alitaka stool ya mninga....kwa ajili ya kuweka ua juu..kwenye sebule yake....kwenye kona....
karibuni kwa mahitaji ya furniture za mbao aina yoyote ile....wasiliana nasi kwa simu namba 0713-920565.

Sunday, April 27, 2014

KITCHEN PARTY GALA.......JANA......27/4/2014....

Nina mshukuru Mungu kwa siku hii.....niliweza kwenda kupata mafunzo...na kupima pia afya yangu....Mungu ni mwema kwangu.....

nashukuru waandaaji.....maana mambo yalikwenda sawa...na nilifurahi.....na kujifunza....na kukutana na wanawake wengine......
Mimi ni mwanamke, mama, mfanyabiashara.....yote haya ni majukumu yangu ambapo nayamudu....vilivyo....

Nb:
...kwenye vazi la kitenge......umeonaje...maana fashionista.....kuna wenyewe.....

MADIRISHA KWENYE NGAZI.....





Wadau wangu....nimekutana na hii design ya dirisha  katika kazi zangu....na nafikiri hii ni mara ya 2 ama ya 3 kama sikosei....dirisha zina kua ndogo ndogo....

Kwa kweli mimi binafsi sielewi maana ya kuweka hivi vidirisha.......kua mwanga upite ama hewa..ama ni urembo....na unawekaje dirisha chini namna hiyo......

Hapo kwa haraka haraka ni kosa la nani....

Kila mara naleta wenzetu wanafanyaje kwenhe ngazi zao.....nyumba zao etc.....

Naomba kusisitiza...ukisha chorewa ramani kabla ya kujenga tafadhali tafuta mtu wa interio akuchoree kwenye 3d...mpe ramani yako....na makosa utayaona na kurekebisha kwenye computer na utaokoa vingi kwa kweli.....

Wednesday, April 23, 2014

UMESHAWAHI KUFIKIRIA KUA NA WALK IN CLOSET...KWENYE NYUMBA YAKO.......




Siku hizi tunajitahidi kujenga nyumba za kisasa....na zinapendeza kwa kweli....kuna mambo tuu madogo madogo ya kuongezea..nimeona leo tuongelee hii walkinn closet....


Hiki ni chumba cha kuweka nguona kuvalia pia...na sio lazima kiwe kikubwa....ni kulingana na matumizi yako...na husaidia chumba chako cha master bedroom kukamilika na kua na nafasi ya kutosha kuweka vitu vingine...


 Kwa wale wanaotarajia kujenga nyumba zao...sio mbaya ukafikiria kua na walk in closet...badala ya kuwema makabati...kwenye chumba unacholala......hii itakusaidia kua na nafasi kwenye chumba chako......
 sio lazima kiwe kikubwa....ni kulingana na matumizi yako.....na mara nyingi kinakua ndani ya chumba cha master bedroom au karibu na master bedroom.....na inaweza ikawa ni kwa ajili yako kama uko single ama ni kwa ajili ya couple......
 walk in closet....ni unaweka kuanzia nguo viatu make ups.....etc....na pia inaweza na itapendeza ikawa ni dressing room pia.....



MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI......

 Tumekua tukidharau sana stoo ya nyumba zetu...na kuhisi kua huku ndiko kwa kuficha vitu na kuweka kuwe tuu ulimradi bila mpangilio wowote......


 kuna baadhi ya watu hutumia stoo kuweka chakula sabuni etc... vya  mwezi mzima....hivyo basi ni lazima kuwe kusafi na kuweza kufanya wadudu wasiweze kuingia na kuharibu vyakula hivyo....

                           
tumia mbao za kawaida....kutengeneza shelves hizi....



                    

Tuesday, April 22, 2014

LAUNDRY ROOM.........

 Siku hizi kwenye nyumba baadhi ninazoenda....kufanya kazi wenye nyumba wamekua wakitenga chumba cha kufulia.....nje ya nyumba ama ndani karibu na jikoni......kulingana na wanavyotaka .....

 kwa kweli tumepiga hatua katika hili.....lakini kinachotukwamisha...ni je ni arrange vipi hii laundry room yangu......sasa hizi ni baadhi ya desins ya jinsi gani unaweza kupangilia....
 na tunaona machine 2....moja ni ya kufulia na ingine ni ya kukaushia...sasa inategemea na were je chumba chako kinatosha kuweka machine 2...na usilazimishe....kama hakitoshi......weka machine moja na ukisha fua...anika nguo zako kwenye kamba.....nje.....



BEFORE MEETS AFTER........PILLOW CASES....

 Kazi ya Homez deco katika kochi hili ni kubadilisha foronya ya hiyo mito midogo......

 Before...
 After....

SHEAR BUTTER KUTOKA MAREKANI ZIMEWASILI......KWA MAHITAJI WASILIANA NASI....



 Hii hiko ndogo.....
Vaseline za maji....zipo pia....

Monday, April 7, 2014

KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA......

Leo naomba tuone.....hii sehemu ya nchi ya ngazi kwa wenye nyumba za ghorofa....
mimi katika pita pita zangu....kwenye nyumba...aina hii..hua asilimia kubea kunawekwa viatu..ama kuna choo kwa mbele...ama ndio stoo....na inakua haina mpangilio mzuri....

nadhani katika picha hizi hauta weza kiko desin katika nyumba yako...kuweka...na pakaonekana vizuri..na penye mvuto zaidi...







UNAWEZA KUSEMA NINI KUHUSU PICHA HII......KWAKO MDAU...........KARIBU...

Tutumie maoni yako kwa ku comment. .nami nitairusha.....

Thursday, April 3, 2014

COLOR COMBO...SOFA.....L-SHAPE.....FOR 8-10 PEOPLE......



 Pamoja na kua kimya....lakini kazi ilikua inaendelea na tunaendelea na kazi kama kawaida....homez deco tunatengeneza sofa......za aina yoyote...na tunatoa ushauri kulingana na livin8g room yako ilivyo...


 sofa ikiwa workshop....ikitengenezwa na kufanyiwa setup kabla ya kupelekwa kwa mteja....
 ukiangalia picha hizi utaona sofa iko katika hali nzuri naya kupendeza...kulingana na rangi zilizotumika hapo....
 Tunapenda kuwakaribisha wote kwa mahitaji ya sofa....na tutawaletea catalogues mbali mbali....
umakini wetu...na kupenda kazi yetu ...juhudi yetu...ndio mafanikio yetu.....

SHELVES.......ZA JIKONI....NI MBAO PAMOJA NA CHUMA....


Hapa tuliweka shelves hizi....kwa kua mwenye nyumba hakua na makabati ya jikoni...sasa wakati anajipanga kwa hilo....ndipo tukamtengenezea shelves hizo......