Wednesday, February 19, 2014
COLOR IDEAS FOR YOUR LIVING ROOM. .....
Inategemea na wewe mwenye nyumba unapenda color gani....kwa mimi mara nyingi humuuliza mteja maswali ambayo hunisaidia kuweza kujua mteja anapenda rangi gani...ama vitu gani...maana wengi wetu wanadhani kua ukumuita interior designer ndio tayari anafanya kila kitu bila kukushirikisha....hapana hua hatuendi hivyo......
Nashauri unapomuita desiger wako kwa ajili ya nyumba yako ama ofisi...jitahidi kutoa detailss zote za nini unapenda...nini hupendi..unataka kuweje ukiingia nyumbani kwako ama ofsini...yote haya yatamsaidia designer kukufanyia kazi yako....
Tu nachokosea ni kutokua wawazi ama kuogopa kuonekana hujui...jamani hakuna mtu kazaliwa anajua....ni kua elimu tumejifunza katika secta mbali mbali.....
Homez deco hua tuna discuss...na kuulizana maswali na kuongea ili kujua nini unataka...kumbuka nyumba hiyo unakaa wewe sasa inabidi ikuwakilishe wewe mwenye nyumba na kukupendezesha...
Design ziko nyingi....kuna traditional, contemporary, etc......sasa unavyomuelezea interior designer. ..ye anajua ni design ipi aende nayo.....na ufurahie nyumba yako. Nitaelezea kila design inakuaje....ili iwe rahisi kwenu wateja kumuelezea designer..
Labels:
Colour
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment