Nyumba ya mteja wetu Arusha.....rangi za dulux zimetumika ukutani...imeingia ndoo 1 ya lita 20...na lita 10 ya vikopo vya lita 5 balcony mbele na nyuma....
Kwenye hayo mawe ya tanga stone hatujagusa....ni ukutani tuu kwa juu.....
Kwa mahitaji ya rangi za dulux...tuwasiliane...0713920565
No comments:
Post a Comment